Thursday, July 11, 2019

PENDA KUTUMA SMS KAMA HIZI KWA MPENZI WAKO

Natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali,,,,,,,,,! Nakupenda sana mpenziiiiii.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2SavN1L

No comments:

Post a Comment