Saturday, July 13, 2019

KATIKA MAHUSIANO JUA THAMANI YA WALE WALIOKULEA

Habari yako msomaji wangu,,,katika maisha ya mahusiano ni muhimu kujua thamani ya wale waliokulea,,maana mausia yao na maombi yao yamechangia wewe kuwa hapo ulipo,,mshukuru Mungu kwa ajili yao,,waombee na wapende pia,,kwani ndani yake kuna baraka



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2XN2rgk

No comments:

Post a Comment