Haya ni mambo 10 ambayo hutakiwi kuyafanya kama utataka kuishi kwa furaha baada ya kuachana na mpenzi wako au baada ya ndoa yako kuvunjika.
1.Epuka kulipiza kisasi, mwachie Mungu na kubali yote yaliyotokea na kuruhusu yapite.
Unapoachwa ni kama adhabu;fulani hivi kwani akilini mwako utajiona kama huna thamani na kuanza kujitoa kasoro kwa kujiuliza maswali kibao mfano sikumridhisha, sina mvuto na mambo mengi utafikiria.Kipindi hiki unashauriwa kufunga mlango kabisa kwa ex wako tena ikubali hali hiyo ikupite ili ukaribishe maisha mengine ya furaha huku ukimuomba Mungu kwa sana.
2.Epuka kusikiliza nyimbo za huzuni au kubembeleza.
Baada ya kupigwa chini na mpenzi wako, epuka kusikiliza nyimbo za huzuni au mapenzi zenyekubembeleza hizi zitakufanya ufikirie majanga yaliyokukuta badala yake sikiliza nyimbo za kufurahisha zenye kuchezeka na zenye kukufanya ujione wewe ni mshindi muda wote na mwenye furaha.

3.Epuka kuita mahusiano yako ni magumu (Complicated).Watu wengi hususani wanawake wanapoulizwa na wanaume kuhusu status zao za mahusiano asilimia kubwa majibu yao nina mtu lakini tumezinguana, majibu ambayo huwafanya waumie kisaikolojia hii ni kutokana na kujiona kuwa umri unaenda na bado hawajapata mtu wa kuishi nae.
Hiki kitu huwapata wanawake kwani huwa ni wagumu sana kuruhusu mioyo yao kusahau mapema vitu kutoka kwa ex wao nakumbuka mwaka 2014 Amber Rose alivyomwagana na WizKhalifa alikuwa akilalama kila siku mitandaoni akiamini hiyo itampunguzia machungu kumbe ndiyo kwanza ilimzidishia machungu.
Epuka sana kuita mahusiano yakoComplicated jibu lenye nguvu ili usiruhusu mawazo yako kwa huyo uliyetemana nae ni kusema upo ‘SINGLE’ jibu hili litakufanya ujione mpya na usiye na mawazo kwa yote yaliyokupata

4.Epuka kumsema vibaya ulieachana naye.Mwenza wako anapoamua kuondoka na kwenda kwa mwingine usiwaambie marafiki zako kuhusu mabaya yake kwani itakufanya uonekane mtu mbaya bila wewe kujua, utaharibu mwonekano wako, na tabia yako, ukisema vibaya kuhusu yeye, pia na wewe utaonekana mkosaji, maana wakosaji ndio huongea mabaya kwa wale ambao hawakufanikiwa.
5.Epuka kutuma meseji za bahati mbaya,au kumfuatilia ex wako kwenye mitandao ya kijamii.Epuka kutuma meseji za kujitekenya mwenyewe SMS kama oooooh!! samahani, pole, nimekosea. habari yako, sikuwa namaanisha kukutumia wewe. yote ya nini? punguza kuongea nae ikibidi acha hadi akutafute maana kitendo cha kummtafuta utakuwa unaongeza chumvi kwenye jeraha lako mwenyewe.Kwasasa kutokana na utandawazi ni vyema ukampa tofali (Block) hii itakufanya umtoe kichwani kirahisi kwani kitendo cha kumfuatilia mitandaoni kitakuumiza zaidi hebu fikiria wewe usiku mzima hujalala kutokana na maumivu ya kuachwa halafu asubuhi unaingia tuu Instagram unakutana na picha ya ex wako kaposti picha ya Mwanamke/Mwanaume mzuri halafu kaweka emoji ya vikopa kopa hapo lazima urudi kitandani uendelee kulala .
.Epuka kujibadilisha mwonekano wako.Hii inawahusu sana wanawake kwani hao ndiyo wahanga wakubwa kwa hili, Wanawake wengi wakishaachika huanza kujibadilisha muonekano kwa kuamini kuwa muonekano wao wa zamani haukuwa mzuri ndiyo maana waliachika.Wengi hubadili mavazi,ngozi, Makalio kuweka tatoo nk. kwa lengo la kuwavutia wanaume bila kufikiria madhara yake, mwanamke usidanganyike na chochote kile kufanya hivyo ni kupoteza muda tuu focus kwa kufanya mambo ya maendeleo kama biashara na ujasiriamali kwa maendeleo yako ya baadae.
9.Usikumbuke yaliopita mkiwa pamoja.
Tafuta kitu cha kufanya ili kukuweka bize muda wote, wakati mwingine soma vitabu vya namna ya kufanya ili kupata maendeleo,Angalia tamthilia mbalimbali ,isipokuwa za mapenzi achana nazo. tafuta marafiki wazuri wa kutoka nao na kufurahi pamoja.
usikumbuke ya nyuma, jinsi mlikuwa mnafanyaje, labda sasa anafanyaje na mwingine, achana na hayo mawazo.
Hayatakusaidia badala yake utaumia. ukikaa muda wa kutosha fungua akili yako kwa ajili ya mambo mengine yanayostahili maisha yako. lakini ukirudisha mawazo ya nyuma sio tu utaumia balihata wale wanaokuzunguka watashindwa kukusaidia.
10.Usianzishe mahusiano mengine kwa kukurupuka.
Watu wengi wakiachika kwenye mahusiano basi hukimbilia kutafuta chaka jipya ili kumuonesha ex wake kuwa na yeye anapendwa kumbe hajui hata huyo aliyempata kwa muda mfupi watadumu nae kwa muda mfupi na kujikuta akiachwa kila uchwao.waswahili wanasema ukiwa na furaha sana usichukue maamuzi na hata ukiwa na hudhuni usifanye hivyo kwani busara hutoe kwa wakati cha kufanya tulia muombe Mungu hayo mengine utafanikiwa tuu.

from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2YJgLBU
No comments:
Post a Comment