Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi”tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA”,
Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema”MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA” alafu akasema kwa wanawake”MWANAMKE ‘MTII’ MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO”, unaweza ona mwenyewe utofauti wa ‘kupenda’ na ‘kutii’, kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.
Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya’KUTAWALA’ na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.
Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.
Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.
”HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU”
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege…. USISEMA HUKUAMBIWA……..
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege…. USISEMA HUKUAMBIWA……..
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2LRDU37
No comments:
Post a Comment