Saturday, June 1, 2019

WANAUME IJUE SIRI HII NZITO



Back in the days niliwahi kuwa katika mahusiano serious kwa mara kama mbili hivi!.. Mahusiano yote haya mawili niliumizwa sana.. ya kwanza niliumia mwaka mzima nisiweze kupenda tena kwa miaka kama minne iliyofuata.. ya Pili niliumia kwa miezi kadhaa!
Nikiwa mwaka wa nne chuo nilikuwa na mshikaji wangu mmoja wa karibu sana, mwana alikuwa na demu wake ambaye wametoka na mahusiano toka advance mpaka mwaka wa nne chuo.. hawa waliclaim wako na mahusiano serious..
Nakumbuka ilikuwa siku moja jumapili moja chenye ubaridi wa kawaida na kimvua kispoti.. huku nikipitia status zangu za whatsapp taratibu.. kama vile siamini macho yangu namuona demu wa mwana akiwa katika shela.. yaani kafunga ndoa na mshikaji mwingine.. Mwana kupata hizo taarifa ilibidi alazwe kairuki.. Kilichotokea alipostpone Masomo! (Kuna Mifano Mingi sana wengine mnaweza Kuongezea)
Wanaume wenzangu kama tujuavyo ni ngumu sana kuishi bila hawa viumbe.. hawa viumbe wameumbwa kututolea upweke.. hawa viumbe wameumbwa kutuburudisha.. ndio maana ukiwa na pesa zako ukipita mitaa flani utakuta wamejipanga mafungu fungu ni wewe tu kutafuta wa saizi yako anayekufaa.. Ujiburudishe!
Lakini kosa ambalo wengi tumeshalifanya ni kuweka Mahusiano serious ama yenye malengo na hawa viumbe..Hili ni Kosa kubwa sana..
Labda nikuambie kitu kimoja..hakuna mwanamke ambaye hana mwanaume.. lakini mwanamke unapomtongoza anakulinganisha na bwanake kisha ndo afanye maamuzi.. (Women cheat the Best).. Ukiwa na Criteria kumzidi bwanake.. umempata huyo mwanamke vivyo hivyo demu wako akitongozwa na Mwamba mwingine atalinganisha kama unamzidi au hakuzidi (Kwa vigezo vyake mwenyewe).. Kisha ataamua.. ndugu kama mwamba amekuzidi ujue umepoteza!.. Amini nakwambia Mwanamke wako yupo na wewe kwa sababu hajapata Mwanaume Bora zaidi yako!
Kwa maana hii ukiweka mahusiano serious na hawa viumbe ujue kuumizwa kuko karibu sana hasa ukizingatia kwenye mahusiano ya malengo sisi wanaume ndio tunakuwa rensponsible sana kuzidi wanawake na ndio tunaopambana kulinda mahusiano haya!
Kwahiyo Solution ni nini ilhali hatuwezi kuacha kutumia hivi Viumbe??
Ndugu yangu kamwe usiwe na mahusiano serious/malengo na hawa viumbe.. kuwa naye for Leisure tu .. akibaki na wewe sawa akiondoka sawa tu.. unavuta mwingine.. Utakuja Kunishukuru!
Mwambie na Mwana Mwingine!
Maneno Yangu sio Sheria, Jukumu langu ni kukuambia kutekeleza/Kutotekeleza ni juu yako!

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2EN5Pfj

No comments:

Post a Comment