Tuesday, June 11, 2019

UONGO KATIKA MAHUSIANO


Ipo mitazamo mingi ya uongo katika mahusiano,,,ni jambo zuri kuwa mkweli katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa lakini kuna muda uongo unahitajika ili kuimarisha mahusiano,,,,,sio kila jambo unatakiwa kumweleza mwenzako ukweli,,,changanya hapo na uongo ukweli,,,jifunze kuwa ukweli muda mwingine huwa ni sumu katika mahusiano



from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2wOlhDQ

No comments:

Post a Comment