Saturday, June 1, 2019

TAMBUA HISIA ZAKO


Sio kwel kwamba unayachukia mahusiano,,unatamani sana kuwa na mtu ambae huenda kesho mkaishi pamoja,,ila unaogopa kumpenda mtu halafu akakutenda,,
Inapotokea umegombana na mwenza wako kwa siku tatu yeye yupo kimya na wewe upo kimya jua hakupendi na wewe humpendi,,maana kwa mtu unayempenda huwezi kuruhusu hasira iwatenganishe,,,kwa usiyempenda huwezi umia hata mchuniane mwezi,,
Ishi ukijua kuna kesho,,,,,huzuni ya leo haiwezi kukatisha ndoto zako,,,bafo unayo nafasi ya kuitwa mama/baba, mke/mume,,,usihesabu umeachana na wangapi,,,subir mmoja uliyepangiwa na Mungu.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2W2ZpP3

No comments:

Post a Comment