Mke anamdharau Mumewe Na Anakuwa na mamlaka ndani Ya Nyumba, Mume Kawa kama zezeta ……….hajali Ndugu Zake !! Anamfulia mkewe mpaka nguo za Ndani..
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake na limbwata limemuingia Sawa sawa…
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake na limbwata limemuingia Sawa sawa…
Msaada wakuu Kwani Mume anashindwa fanya kitu Cha Maana Zaidi Ya kuendeshwa na huyo Mke!
Tufanyaje Kumtoa Huko Alipo?
Tufanyaje Kumtoa Huko Alipo?
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2EVRyNy

No comments:
Post a Comment