Saturday, June 8, 2019

KUISHI KWA AKILI KATIKA MAHUSIANO KUNA MANUFAA




Kuishi kwa akili kuna manufaa katika mahusiano yako,,,,,Leo hii unataka tu kutumia hisia na mihemko yako kua na huyo ambaye hana upendo wa dhati,,,,tambua maisha ya mahusiano sio leo tu Bali ni safari ndefu sana,,,,,,kua na makini na kila hatua unayopiga,,,na heshimu hisia za mwenza wako ili maisha yafike pale mlipotarajia.

from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2WlDyCJ

No comments:

Post a Comment