Habari wapendwa,,,kumekuwa na tabia kwa baadhi ya wanawake ya kupenda waume zao na kuwachukia wazazi wa kike wa waume zao,, Hii tabia imekithiri katika ndoa nyingi,,wanawake hao wamekuwa wabinafsi sana,,hawataki kuendeleza mahusiano ya mume wake na familia ya mume wake,,,,wanawake wengine wamekuwa wakigombana na mama wa mume wake bila hata aibu,,lakini eti akiwa na mumewe anampenda,,,wanawake wenzangu tujifunze kuwapenda mama wa waume zetu na tuwapende kama zetu.
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2XmShPc
No comments:
Post a Comment