– Anakuheshimu na anakufanyia mambo yote kwa heshima
– Muda wote uko kichwani kwake/anakuwaza wewe.
– Anakusikiliza na anafanya unachokisema
– Anaweza kukushika bila kuogopa watu. mfano, mkono mkiwa sehemu zenye watu wengi
– Anakujali.
– Anataka uipende na ushirikiane na familia na ndugu zake –
– Anaweza kuomba msamaha
– Akiwa anaongea badala ya kusema nita…. anasema tuta…. mfano, tutafanya hivi badala ya nitafanya hivi
– Anakuweka kwenye mipango yake ya baadae
– Anasema ‘SASA’. (Mfano SASA tufanyeje?) Anatumia neno sasa kukupa nafasi ya kutoa mawazo yako
from UHONDO KITANDANI http://bit.ly/2Y8Cy6N

No comments:
Post a Comment