Saturday, August 31, 2019

Hizi ndio sehemu 10 zenye msisimko mkali zaidi kwenye mwili wa mwanamke





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2PAmbjx

Ujumbe wa kwanza wa Sugu baada ya kufunga ndoa na mkewe Happiness, “Sasa ni rasmi”





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2HBsexK

Faiza Ally Ajibu Mapigo Baada ya Mzazi Mwenzake Sugu Kuoa, “Hope you Will Treat Me Well Tonight”





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2PHxxC2

Jux Afichua Siri ya Penzi Kwa Jack hadi V-money





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2HDGkP7

Madee afunguka sakata la Dogo Janja na Irene Uwoya





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZHBSVL

Hatimaye Sugu Afunga Ndoa Leo





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2Lawiai

Diamond, Nandy Bampa to Bampa





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/30OBLsP

Chameleone Afunguka Harmonize Kufuta Sauti Yake, ‘Sipendi Kukosewa Heshima’





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2HCXFYB

Wakazi, Nikki wafunguka kuhusu Majani na Pro. Jay





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2LiNrO6

Kim Nana Afunguka “Mimi Sijaachika na Wala Siwezi Achika Kirahisi Hivyo”

WALE mnaopenda kufuatilia maisha ya watu mpo? Haya sasa muuza nyago maarufu Bongo Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amesema kuwa yeye kuachika siyo rahisi kama watu wanavyodhani au wanavyoomba iwe kila siku anajiamini ni msichana mzuri.

Kim Nana aliiambia Mikito Nusunusu kuwa mikwaruzano katika uhusiano lazima itokee hivyo hata yeye ametofautiana kidogo tu na mpenzi wake Tonny Albert ’T Bway’ lakini siyo kama wameachana kama ambavyo watu wanazusha na kibaya zaidi ni kwamba asilimia kubwa ya watu wanapenda kusema mambo ambayo hawana uhakika nayo.

 “Jamani eti nimeachika na kipigo juu, mimi siwezi kuachika kirahisi hivyo kama wanavyofikiria najiamini sana, sasa watu wanapenda kuongeaongea tu mambo wasiyokuwa na uhakika nayo.“Kutofautiana katika uhusiano ni jambo la kawaida sana tu, kwa sababu hata hao wanaoongea kuhusu mimi huwa wanagombana na watu wao wakaribu,” alisema.Nana haachiki kirahisi.







from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/34gN8M7

Mlela Alindwa na Baunsa, Ataja Sababu





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2NEB81j

Monday, August 26, 2019

FAHAMU JINSI YA KUPATA MPENZI BORA

Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia. 

Hivyo ili uweze kupata mpenzi sahihi unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo: 

Lazima na wewe uwe bora kwanza. 
Huwezi kusema unataka mtu bora wakati wewe mwenyewe siyo bora. Kama unataka mpenzi bora na sahihi kwako unatakiwa kwanza wewe mwenyewe uwe bora kwanza katika kila eneo ambalo wewe linakuhusu ndipo na wewe utakapopata mwenza bora pia. Hii si kwa wanawake tu bali hata kwa wanaume pia kama unataka msichana ambaye ni bora anza kwanza wewe kuwa bora ndipo mambo mengine yatafuta. 

Lazima na wewe ujiheshimu. 
Utasikia wadada / kwa wakaka wakisema mimi nataka mtu ambaye anajiheshimu, ni heshima gani ambayo unaizungumzia wakati wewe mwenyewe huna heshima hiy?. Kila wakati kumbuka huwezi kupata heshima unayoitaka kama wewe hauna heshima hiyo, kumbuka kila kitu unachokitaka kutoka katika jinsia tofauti ni lazima wewe uwe wa kwanza kuwa na tabia hiyo kabla ya kumuangalia mtu mwingine. 

Kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako. 
Hii ni kwa wadada utasikiawa kisema oooh mimi nataka mkaka mwenye gari, binafsi huwa najiuliza wewe unalo kama unalo basi una haki ya kusema hivo, kama unataka mtu mwenye gari basi na wewe uwe nalo ili muwe nayo mawili. Acha kujifanya unachagua watu wenye mali wakati wewe hizo mali hauna ni kapuku wa kutupwa. Kumbuka mali hutafutwa. 

Ukitaka msomi hakikisha na wewe umesoma 
Maara utasikia ooh mimi nataka msomi, mmmh ni usomi upi unaouzungumzia wakati wewe mwenyewe elimu yako huwezi hata kutamka hata mbele ya mtu?. kila wakati acha kujifanya bingwa wa kuchagua vitu ambavyo wewe huna, kama unataka msomi basi hakikisha na wewe ni msomi. 

Mwisho naomba kwa kusema maisha ya mahusiano siyo vitu bali ni hisia, ukijifanya bingwa wa kuchagua vitu kuliko kusikiliza hisia zako zinasema nini basi neno ndoa utakuwa ukilisikia kwa waliopo ndoani pekee, 



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2NzcrmO

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE


unapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our choice Kufanya ngono kusiko a.k.a Tigo “MWIKO” katika jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya imani zetu za Dini.Kinachofanyika chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni “taboo” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uzinziKuna baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua “unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.Pamoja na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.Ukweli kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “n*atural*” na hujisikii vema kushiriki ngono Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.-Mara mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya waarabu).-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya kuzaa.Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia na kuyatendaMADHARA MAKUU NI: 1.Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto.Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele yajamii.2.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.3. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.4. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.5. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.6. hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.timu ya chombezo inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ngono kusiko (tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na unafanya vile utakavyo.Ushuri wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa waliwahi pia



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2Lcya0W

MESEJI 25 NZURI ZA MAPENZI

Kuna miezi 12 katika mwaka siku 30 katika mweziΓ―¿½siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku dakika 60 katika saa 1 lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
**** 
I asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of water and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me you! 
**** 
Kuna vitu viwili zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe 
***** 
I will walk with you side by side for only one condition: hide your wings every time we walk together because the whole world might know that you’re my angel! 
**** 
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu! 
**** 
Do you take me to be your lawfully wedded text mate, in sickness or in health, through metering or not, till low bat do us part? 
**** 
Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii. 
**** 
Each of us is an angel with one wing. The only way we could fly is to hold each other and share wings. So if you have trouble flying, I will always share mine with you. 
****
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja. 
**** 
Minsan caring is better than loving. Minsan tea is better than coffee. Minsan smile is better than laughter. Pero nobody is better than you. 
**** 
Umewekwa usiku ili tuweze tuukubali mchana, huzuni ili tuikubali furaha, ubaya ili tuukubali uzuri, wewe ili niyakunali mapenzi.
I don’t want to say I miss you, though deep inside I do, coz I’m afraid you might see thru and know how much fear I have of losing someone like you. 
**** 
Unaonekana kungΓ―¿½ara leo nilijuajeΓ―¿½Γ―¿½.ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku 
**** 
You greeted me hi, I didn’t reply. You gave me a sweet smile, I responded with a sigh. You showed me your love, you received a shrug. But when you bid goodbye I began to cry. 
**** 
I have heard from the phone company, the water company, the electric company, but haven’t heard from you. Too bad, it’s your company I love the most. 
**** 
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe. 
**** 
I’ve been wondering why you’re not texting… Multiple choices: a. busy b. dilemma c. tired d. thrifty e. want me to miss you. 
**** 
Love is something special, a treasure I want to find… To others, love is blind but for me, its not true, coz when I fell in love…I saw you. 
**** 
Ni mapenzi gani yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji? 
**** 
True love is hard to find, special one, one of a kind. I know because it appeared to me on a strange day I met you. 
**** 
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe. 
**** 
While you gave her flowers, you gave me thorns. While all she did was smile, all I did is mourn. While she was so happy, I felt so blue. Because while you loved her, I was loving you. 
**** 
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. 
**** 
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. 
**** 
Can I say I love you today? If not, can I ask you again tomorrow? And the day after tomorrow? And the day after that? Coz I’ll be loving you every single day of my life.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2zmK431

SMS ZA KIMAHABA ZA KUMLIWAZA NA KUMFURAHISHA MWENZI WAKO

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
ndugu zako wanaotugombanisha 
na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
Mapenzi yetu yadumu daima.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea
nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
Chezea
…………………………..
Katu si kila rafiki ni msafi
wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2Zk8FF5

SMS ZA KIMAHABA ZA KUMLIWAZA NA KUMFURAHISHA MWENZI WAKO

Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
ndugu zako wanaotugombanisha 
na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
Mapenzi yetu yadumu daima.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
“Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,
“jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”,
“japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”
I LOVE U
……………………………….
Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea
nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
Chezea
…………………………..
Katu si kila rafiki ni msafi
wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZmXarC

SMS ZA MAPENZI

Penzi ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahisi litadondoka...... . Usielewe vibaya sikukatazi Kupenda au Kupendwa, ila tazama wapi Umependa au Umependwa'Je kumpenda asiye kupenda ni sawa na kusubiri boti airport.





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2KUV6TM

MANENO MAZURI YA KUONGEZA UPENDO KWA MPENZI WAKO

Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi.



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2NIkSwr

MESEJI ZENYE KUVUTIA MPENZI MPENZI WAKO

Katika hadithi zile za kale, 
Watu walipendana nyakati zile, 
Kwa mapenzi matamu yenye ukweli, 
Mapenzi yao hayakujali mali, 
Mapenzi yao yalipendeza sana, 
Mapenzi yao ya kuaminiana, 
Mapenzi yale mie nayatamani, 
Ninayahitaji kutoka moyoni, 
Ninajuwa mapenzi hayachagui, 
Yanapojenga moyo wenye uhai, 
Kuna mioyo inajuwa kupenda, 
Mapenzi yake hayawezi kupinda, 
Mapenzi yawezayo kukuzuzuwa, 
Mapenzi moyoni yaliyotulia, 
Mapenzi halisi ninayoyaimba, 
Ambayo kutoka kwako nayaomba.
Njoo sogea nipe pendo la dhati, 
Mapenzi ya uwongo siyafuati, 
Njoo kwangu mpenzi we usisite, 
Nami nitakupa moyo wangu wote, 
Nikisema hivi utanisikia, 
Nikitaka hiki utanipatia, 
Kumbuka siku ya kwanza nilisema, 
Nakupenda wewe tu hadi kiama, 
Nikaandika tungo kwa ajili yako, 
Nikaonesha mapenzi yangu kwako, 
Ndivyo hivyo kamwe sitobadilika, 
Nitakupenda pasipo kukuchoka, 
Mapenzi yangu kwako usiyakwepe, 
Naomba mapenzi halisi unipe, 
Kwangu wewe usiwe na wasiwasi, 
Nami nitakupa mapenzi halisi.
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema, 
Kukukosa ninakonda, mwilini ninayo homa,
Moyo mbio wanienda, nisikwone siku nzima, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Moyo wangu una wewe, tele tele umejaa, 
Ningepatwa na kiwewe, kama ungenikataa,
Mapenzi yote nipewe, nipende kila wasaa, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Maneno nishasikia, yapo tokea kitambo, 
Kwa wivu wanaumia, kukukosa ee mrembo, 
Kwangu umesharidhia, huhitaji tena nyimbo, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Waseme yote mchana, walale hapo usiku, 
Mioyo yawanyongona, imejaa dukuduku, 
Sisi tunavyopendana, wamebaki zumbukuku, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Raha kwako naipata, hakika nimeridhika, 
Kwako hakuna matata, moyo wangu umefika, 
Usiku ninakuota, kwako naliwazika, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Upendo uso kipimo, wewe nimekupatia, 
Moyo unalo tuwamo, raha naipata pia, 
Kwenye moyo wangu umo, raha yangu ya dunia, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Wenye kusema waseme, waseme hadi wachoke, 
Roho zao ziwaume, ziwaume wakereke, 
Mioyoni ziwachome, wachomeke wakauke,
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Wenye wivu uwashike, uwashike uwagande, 
Zaidi wahuzunike, wahuzunike wakonde, 
Chakula kisiwashuke, wacha mie nikupende, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Ni raha mwangu moyoni, wewe kuwa ndiwe wangu, 
Nimezama furahani, rahani chini ya mbingu, 
Sisi tumo mapenzini, tuache ya walimwengu, 
Siogopi kukupenda, hata watu wakisema.
Mpenzi nakusifia, uzuri wa malaika, 
Urembo ulozidia, hakika umeumbika, 
Nami ninajivunia, kwako wewe nimefika, 
U pekee duniani.
Hakika we u mzuri, kwa sifa zenye kujaa, 
Kama nyota alfajiri, maishani unang’aa, 
Uzuriwo u dhahiri, hakuna anokataa, 
U pekee duniani.
Unayo sauti tamu, nyoka kutoka pangoni, 
Mejaa mashamshamu, utamu masikioni, 
Huniletea wazimu, kusisimuwa moyoni, 
U pekee duniani.
Una rangi asilia, yang’ara kama dhahabu, 
Rangi iliyotulia, wengine yawapa gubu, 
Sichoki kukusifia, wewe ndo wangu muhibu, 
U pekee duniani.
Macho kama ya gololi, na mapole kama njiwa, 
Sifa wazistahili, kwani umebarikiwa, 
Leo nasema ukweli, wanifanya kunogewa, 
U pekee duniani.
Mwendo wako wa kuringa, mrembo mwendo mwendole, 
Moyo wangu waukonga, waujaza raha tele, 
Nipo radhi kukuhonga, sikupate watu wale, 
U pekee duniani.
Sifa zako zimezidi, wewe u nambari wani, 
Wewe kwangu maridadi, mwingine simtamani, 
Nakupa yangu ahadi, daima ‘takuthamini, 
U pekee duniani.
Wewe wanipa sababu, kufurahia mapenzi, 
Wako ustaarabu, hakika nitakuenzi,




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZebyHo

UMUHIMU WA KUSHUGHULIKA UNAPOKUWA FARAGHA NA MWENZI WAKO

JINSI YAKUKATIKA KATIKA MAPENZI......dada angu katika mapenzi kuna ukatikaji wake, na sio wakatika mauno tu kama unacheza mdumange au singeli hapana,,,kwanza inatakiwa ujue kukatika kabla ya sex na kukatika ukiwa sasa umekalii sasa pale uume,,,na pia ukiwa katika uume pia kuna ukatikaji wake dada angu na sio umeambiwa mwanamke viuno basi wewe wayamwaga mauno yasiyo hata na mpangilio ili mradi tu uunekane umekatika na ndio mana utaona mwanaume wamkatikia mauno weee na bado anakubwaga......jua kuna ukataji wake dada angu usiyamwage tu mauno kama umekalia pombe vile hayana hata mpangilio........SASA BASI TUTAJIFUNZA HUMU HUMU JINSI YA  KUKATA MAUNO STAILI ZOTE MBILI KABLA HUJAANZA KUSEX PALE NA UKIWA USHAANZA KUSEX NA MM MWALIMU WAKO.. 

πŸ₯¦KUCHEZEA GSPT.......hichi ni kiungo kikubwa sana chenye hisia wapo wanaosema hata zaid ya kisimi.....hichi kiungo kipo kwa mwanamke.....ila sasa kaka aku hi gspt haiji tu mbaka kunasehemu unatakiwa uanze kuichezea na ndio kinachomoka hicho kiungo na kweli hichi kiungo kinahisia kali sana kwa mwanamke ukijua kukichezea vizuri raha anayopata mwanamke inavika hatua mbaka anatetemeka kama anadege dege kama   nimuoga unaweza kujikuta unamkimbia unamucha na mwanamke mwenyewe hufikia hatua umwaga mbegu nyingi kama mwanaume ... mbaka unaona kabisa ...sasa hichi kinajinsi yakuanza na kina usuguaji wa dizaini mbili mwanzo pale kuna uchezeaji wake na pia mwisho pia kunauchezeaji wake.....mpate mwanamke aliyewahi kuchezewa Gspt vzuri lazima atakwambia hakuna mfano rahaa yake ....inafikaga hatua mbaka mwanamke analia kwa rahaa....na wapo mbaka wanawake hawajui masikini et icho kitu kipo wapi...na wapo wanaojua kilipo ila hawaja wahi kuona wakichezewa.........SASA BASI JINSI YA KUFAHAMU KUKICHEZEA KIUNGO HICHI KWA UFASAHA KABISA TUTAJIFUNZA  NA MM MWALIMU WAKO...πŸ₯¦



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2L23GPa

KAMA UNATAKA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO KATIKA TENDO LA NDOA JIFUNZE KWANZA SEHEMU HIZI UZIJUE VIZURI

MAZIWA..ya mwanamke yana sehemu 3 katika swala la mapenzi.....na yanajinsi ya uchezeaji kaka angu...unaaza sehemu moja inafata ya pili inafata ya tatu .......mwisho unakuja kuchanganya kwa pamoja.......na sio wanaume wa sasa akilishikilia ziwa kama anaugomvi nalo....juu halipandi chini halishuki ya tafarani...kisa basi alisikia maziwa ya mwanamke yanahisia sasa ilimradi tu kalishika shika mbaka anataka kuling'oa ziwa la mtoto wa watu........SASA BASI JIFUNZE JINSI YA KULISHIKA NA KULICHEZEA ZIWA KWAMGU .....KIPINDI KIJACHO HUMU HUMU KWENYE GROUP LETU.....NA MM MWALIMU WAKO........kaeni tayali kwa somo hiloπŸ₯¦ 

πŸ₯¦JINSI YA KUCHEZEA UUME NA KORODANI KWA NYIE WATOTO WAKIKE..........nasio tu unavutavuta kama unataka kuzichukua vile.....tukianza na uume nao unasehemu zisizo pungua 4 za kuanza  kuzichezea na sio hivyo mnavyo vuta vuta tu mtakuja kutung'oa wenzenu na hata kama wewe  ni mpenzi wa kulamba koni pia kunaulambaji  wake ..sio walamba lamba tu kama paka kila mahali....uume ni sehemu muhimu sana kwa mwanaume katika swala la mapenzi  na pia hivyo hivyo katika swala la korodani.......dada angu hizo haziminywi minywi tu kama upo gengeni wachagua nyanya.....kuna jinsi ya kuzichezea korodani na mwanaume akaisi kama anapaa vile na akafika hata kabla ya kuanza suhuli yenyewe ...na ukijua vizuri kuzichezea hizo sehemu mbili korodani na uume .......kama mwanaume huyo hatakukumbuka wew popote aendapo basi uyo jini sio mtu.........SASA BASI NITAKUFUNDISHA JINSI YAKUZICHEZEA HIZO SEHEMU 2....MIMI MWALIMU.......πŸ₯¦ 

πŸ₯¦KUCHEZEA KISIMI.....kaka angu kunajisi ya kuchezea kisimi......sio mwanamke anavua nguo kurupu kwenye kisimi utakisugua wewe kama sufuria la masizi yaani inafika hatua mwenzio anabana mapaja ...basi na wewe unahisi anasikia raha kumbe unamuumiza ...anashindwa tu kukwambia.....na mwanaume mwengine basi akianza kukivuta kama anaking'oa vile......kaka hicho chakwake sio cha kwako wataka kukitoa uwe nacho wewe au😳embu acheni hizo mambo kisimi kinahatua zake jinsi ya kukichezea na kunasehemu unatakiwa uanze .........SASA NI SEHEMU GANI NA UNATAKIWA UKICHEZEAJE TUTAJIFUNZA WOTE KWA PAMOJA....NA MM MWALIMU WENU πŸ₯¦



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/33V7NFH

FANYA HAYA HISIA ZA MAPENZI ZIENDELEE


TUNAISHI kwenye ulimwengu unaoenda kasi sana kiasi kwamba usipokuwa makini, unaweza kujikuta ukimpoteza mtu uliyempenda sana maishani kwa sababu tu ya kujua namna ya kwenda naye sawa wakati ukiendelea na mchakamchaka wa kukimbizana na maisha!
Inafahamika kwamba mapenzi ni hisia lakini ni wachache wanaoweza kueleza jinsi ya kufanya hisia za mapenzi ziendelee kuwa hai. Siku hizi ndoa nyingi zinaendelea kuwepo kwa sababu ya kudra tu, unakuta mume na mke wanaishi kwa sababu ya mazoea tu lakini si kwa sababu ya mapenzi!

Wengine wanakwambia kabisa, ‘mapenzi yalikuwa wakati tunaanzana’! Wanaishi tu ilimradi siku zinaenda, ilimradi wanawalea watoto lakini si kwa sababu ya upendo kati yao.
Wengine wanafikia hatua hata ya kulala mzungu wa nne au kutengana vyumba kabisa! Kwa nje mnawaona kama wanapendana lakini kumbe ndani kuna ufa mkubwa kati yao, hakuna tena mapenzi kati yao.
Cha ajabu, utakuta watu hawahawa ambao leo wanaishi kimazoea, wakati wanaanzana walikuwa wakioneshana mapenzi motomoto! Walikuwa wakigandana kama ruba, walikuwa wakioneshana kila aina ya bashasha za kimapenzi.
Ukiuliza nini kimetokea? Hakuna mwenye majibu, maudhi ya mara kwa mara yamekuwa kitu cha kawaida kwao, usaliti, kutoheshimiana na kujibizana hovyo kumewafikisha hapo walipo, hakuna tena mapenzi, Wazungu wanasema No More Love!
Hata pale inapotokea maelewano yakapatikana, mnapokutana faragha, hakuna tena msisimko kama zamani, kwa wanaume wanaanza kupatwa na tatizo lingine la kupungukiwa na nguvu za kiume wakati wanawake wao wanapoteza kabisa hamu ya tendo.
Utafiti wa kisayansi, unaonesha kwamba mwanaume anapokosa hisia, dalili zinazoonekana kwa haraka ni ukosefu wa nguvu za kiume! Lakini cha kushangaza, mwanaume huyu ambaye mkewe anamlalamikia kwamba hamtoshelezi kwenye tendo, ikitokea amepata mchepuko, huko nje ‘anapafomu’ kwa kiwango cha juu kabisa, akirudi ndani mambo ni yaleyale.

Mwanamke pia anayepoteza hamu ya tendo kwa mumewe, ambaye
hafurahii tena kuwa faragha na mumewe, ikitokea amekutana na mchepuko huko nje, utashangaa analifurahia mno tendo na pengine ‘akafika’ kwa urahisi kabisa, akirudi ndani mambo ni yaleyale.
Kwa maelezo haya, ni dhahiri kwamba unaona umuhimu wa hisia katika mapenzi! Ili mapenzi yawe matamu, ili uhusiano udumu, ni lazima kila mmoja awe na hisia na mwenzake. Hata hivyo, hisia haziji tu zenyewe, zinajengwa!
Hisia za mapenzi ni kama bustani ya maua, haiwezi kustawi wala maua hayawezi kuchanua na kutoa harufu nzuri kama huitunzi bustani yako KILA SIKU! Hisia za mapenzi siyo kitu cha kuja na kupita, unatakiwa ushughulike na hisia za mwenzi wako kila siku.
Hatua ya kwanza kabisa unayotakiwa kuifanya, unapoona unaishi kwenye maisha ambayo hisia za mapenzi kati yako na mwenzi wako hazipo tena, ni kuanza kujiweka karibu na mwenzi wako.

Kama hukuwa na mazoea ya kuwahi kurudi nyumbani, au ukiwa nyumbani unakuwa bize na mambo mengine, badilisha utaratibu, anza kutenga muda wa kutosha wa kukaa naye karibu na kuwa mnyenyekevu kwake!
Siyo unawahi kurudi nyumbani halafu muda wote mna kazi ya kubishana na kulumbana! Jifanye mjinga, jishushe na muoneshe kwamba unampenda! Hata kama alikuwa na dukuduku lake moyoni, litaanza kupungua, ataanza kuzungumza na wewe, ataanza kukuchangamkia na hapo utakuwa umefanikiwa kuanza safari ya kuziamsha upya hisia zake.

Tafuta muda wa kutoka naye ‘out’, mpeleke maeneo mliyozoea kwenda kipindi mapenzi yenu yalipokuwa motomoto, taratibu hisia zitakuwa zinaendelea kuongezeka kidogokidogo.




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/320Mgte

BAADHI YA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ZINAWEZA KUZALISHA KIUMBE WA AJABU


Staili ya kufanya mapenzi ina umhimu wake katika upatikanaji; kwa hizo staili ngumu mnazofanya ipo siku mtazaa ngamia.
Pamoja na hayo; KIFO CHA MENDE ndiyo inayotajwa kuongoza kuwa ni staili pekee yenye uhakika wa kutungisha mimba iliyonjema kwa zaidi ya asilimia 90%.
Wakati huo 2% inatajwa kuwa watoto wenye utindio wa ubongo wanaweza sababishwa na namna ya mama mzazi atakavyohudumiwa na mkunga siku ya kujifungua.
Lakini je wajua?
“Baadhi ya staili ngumu za kufanya mapenzi zinatajwa kuchangia kwa asilimia 8% upatikanaji wa watoto wenye umbo la kipekee (Abnormal human being).
BADILIKENI MAPENZI SIYO VITA
” Mnamkunjana kama mataili?….mnafungana kamba kwenye kenchi? mnakutana kwa bembea? …mnabinuka kama popo? …kwa hayo machache mnatarajia mtapata kiumbe cha kawaida?




from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2ZA26h6

Sunday, August 25, 2019

VYAKULA VINAVYOHUSISHWA NA TENDO LA NDOA

.kuna vyakula tunafahamu  vinahusishwa sana na tendo la ndoa na wengi wao tunavijua,,yaweza kuwa ni kweli au yawezakuwa unakosea katika matumizi,,utakuta mwanaume kaambiwa karanga zinahusiana na tendo la ndoa,,, basi ndio akitaka kufanya mapenzi ndio atakula mikaranga hiyo kama ugomvi.....sasa wakishakuwa kitandani badala ya kufanya shughuli ya tendo la ndoa ..ye anaachia mishuzi hapo mbwa mbwa mbwa chumba kizima kina kuwa kama choo sasa🀣 ...ukiuliza karanga.........kaka angu kunajinsi ya kutumia hivyo vyakula nakama vile karanga, tangawizi,matikiti na mbegu zake,mbegu za maboga,nk.........nasio unafakamia tu utie aibu kitandani huko...........SASA BASI JIFUNZE KWANGU JINSI YA KUTUMIA VYAKULA HIVYO..MM MWALIMU WAKO πŸ₯¦



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2MCYXqm

JIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABU


UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘 

           πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

πŸ’•πŸ’•πŸ‘πŸΎMke  nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.πŸ’•πŸ’• 
Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.πŸ‘‰πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• 

πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Mwanaume pale mwanamkeπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka ‘kumkaba’ kwani akilala vibayaπŸ’• akiwa amekukumbatia ataamka akiwa naπŸ’•πŸ’• maumivu ya shingo kutokana na mkono wako. 

            πŸ’•πŸ˜˜ Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.πŸ’•πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ 

                πŸ’•πŸ˜˜Mume ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

πŸ’•πŸ’•πŸ‘‰Mnapolala na mtoto, mkumbukeπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ kumlaza katikati yenu na muepuke aina zaπŸ‘ˆ ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka. 
Nyongeza: Unaweza lala na MUME/MKE wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maanaπŸ‘πŸΎπŸ‘‰ wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ 

           πŸ’•πŸ˜˜Mume ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

Usije ukadhani au kufikiri hazinashida nywele hataakizielekeza alipo Mume❗& Shida ni pale nywele zinakuwa na harufu fulani za kupakwa mafuta bila kuoshwa na ukijumlisha ni za bandia 😁😁😁😁😁😁😁sasa alafu chafuπŸ‘πŸΎ 
Nywele safi ni nzuri kuanzia kuzishika hadi kuziona.. 

           πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

Mawigi na mvua  na Yamechacha , nunua mwavuli mdogo weka kwenye bochi , mvua ikinyesha jikinge huko ndiko KUTUNZA harufu njema ♥ Kwani mawigi tu❓ Si kuna zile za kushonea pia , rasta za kusikia , hata natural hair (nywele Asilia) Tuza nywele ziwe Asilia au za bandia πŸ˜πŸ‘ˆ Zingatia usafi Mfano Peruvian hair zikinyeshewa manyunyu zinakuwa na kauvundo mkilala Hakuna hewaaπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ 
Wanawake tukiwa natural na simple huwa twapendeza saana . Ila ndio hivyo sio vibaya kuwa na Wingi na Kadhalika πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ 

            πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

Angalau leo unaweza ongea lugha moja Mume/Mke WAKO πŸ‘ˆ bila upinzani. Sababu vitu viko wazi kabisa ni kiasi cha kuangalia tu kipi ni sahihi wakati wa kulala na Mume wako.  
Pia ni kwambie tu Mwanamke mwenzangu siku zote usingizi ni kitu kingine bana 😁😁😁 
Ila ukisema ukae tu na natural hair 😁 anajua Mke wake ni mkono wa birika wa kutoaπŸ˜„πŸ‘πŸΎ gharama.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 
Hahahahahahhah tunapenda urembo Ukitaka kusiwe na harufu Wanawake tubadirisheπŸ’•πŸ’• nywele πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ 

                         Huu ni ujumbe Wa 

 MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------😘MUME NI MTAMU😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 

πŸ’•πŸ’•Mume ❤ ni THAMANI yapasa KUMWESHIMU , MUNGU πŸ™ mtoa vyote na Mume pia utoka kwake , kwani nini kumdharau wakati wengine hawana wanaomba mfano wa chozi ndani ya jicho , likitoka tu LINDONDOKE kwenye SHAVU , Wasipanguse LIGANDE kwenye viganja vyao alafu Mke waleta dharau  
ACHA KIMUCHUKIZA MUNGU πŸ˜˜πŸ™ Mume ni mtamu πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ™πŸ™πŸ™Kwa sababu AMEKUPENDA WEWE πŸ‘‰πŸ˜˜Mwoshe Upendo wa dhati , wala usififie kadri miaka iendavyo ndivyo UPENDO ❤πŸ‘ˆ uongezeke , Mume akusifu na aendelee kunena Binti za watu wengi wametenda mema. πŸ‘‰πŸ’•πŸ’•Lakini wewe 
umewapita wote . MUME MTAMU😘😘😘 

              πŸ’•πŸ˜˜Mume  Ni MTAMUπŸ˜˜πŸ’• 

♥♥♥Kwa nini πŸ™„ waruhusu fitina❓πŸ‘‚πŸ‘‚ zikwepe MUME NI MTAMU 😘 Mpende na umlinde hilo ni jambo jipya MUNGU amelifanya Mke atamlinda Mume wake , ulizi ufanye kujisikia KUPENDWA , katu Moyo wake usijute Kukuoa maana Wewe ni Mkewe amcha BWANA πŸ™ moyo wako umejaa Maarifa , kwani upendeleo hudanganya , na uzuri ni ubatili , Bali Mwanamke amchaye BWANA , ndiye atakayesifiwa❗ 

                   πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMUπŸ˜˜πŸ’• 
♥♥♥ 
Mtumie ujumbe wa Mapenzi sio idadi ya mahitaji , mahitaji usemwa bafuni mkiwa mwaoga wote Wawili😘😘😘 Akiwa kazini jumbe za faraja ndio CHEMCHEMI πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• 
ya kuonyesha jinsi unavyomuwaza awapo mbali na wewe , akirejea toka kazini πŸ™ MUME ni MTAMU ❤ Umeivua kanzu yako , uivaeje❓ 
Umeitawadha miguu uiichafueje❓Mpendwa wako autia mkono wake tunduni . Na moyo wako umechomeka kwa ajili yake . Ondoka Mke mfungulie Mpendwa MumeπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ˜˜πŸ˜˜ 
Wahitaji uwepo wa Mume na hasa kumbatio lake lenye kina cha mapenzi MUME ni mtamu 

                  πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

♥♥♥ 
Kujivunia ni haki yako kwani tunda lako bidhaa ya faida ; Taa yako hazimiki usikuπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ‘ˆ 
Mume ni utamu maridhawa ,hakika atakupenda 
TUNDA lako la angaliwa Mume ni mtamu wala 
Mwenyewe πŸ‘Œ❤πŸ‘ˆπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• 
Jinsi anavyokuchanganya Mume ni mtamu πŸ’• 

               πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

Aamke amkute ubavuni wake, anamjulia hali. Za Asubuhi πŸ˜˜πŸ‘ˆ TAMU wewe, anakwenda kazini huku anaikumbuka Asubuhi ya kifungua kinywa na Mkewe na anamtumia vijitextπŸ˜„πŸ’ͺ nilikuwa ninakucheck tu πŸ˜ƒ WifeπŸ’ͺπŸ˜„πŸ‘ˆπŸ˜˜πŸ˜˜ 
Mume ni mtamu πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• 

               πŸ’•πŸ˜˜Mume Ni MTAMU πŸ˜˜πŸ’• 

Warudi nyumbani kutoka kazini πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafuπŸ’•πŸ˜˜ imepenya kooni ndani ya joto la December. 

               Jamani πŸ˜„πŸ˜˜πŸ’• Mume ni MTAMU
     πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ˜˜ 
Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitunguuπŸ‘πŸΎπŸ‘‚ shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae. 

πŸ”΄NDOA  NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE πŸ™



from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/340lT8I